Milima Niachieni
Naipiga parapanda, watu wote sikieni, Niwatoe njia panda, mnijue kiundani, Hakuna ninachopenda, kama milima jamani, Tambarare chukueni, milima niachieni. ~ Utunzi wa Alvin Aron #Mwanagenzi
Naipiga parapanda, watu wote sikieni, Niwatoe njia panda, mnijue kiundani, Hakuna ninachopenda, kama milima jamani, Tambarare chukueni, milima niachieni.
Kwanza raha kuipanda, vurugu purukushani, Moyo fasta hunidunda, kama nimeona jini, Kilele nikikidanda, miye hoi taabani, Tambarare chukueni, milima niachieni.
Napandaga kwa kupinda, na sichokagi lakini, Naugulia ja donda, maumivu siyaoni, Mpaka…
View On WordPress












