Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Taitus Malambwa (28) Mkazi wa Kijiji cha Ntibili Mpimbwe Mkoani Katavi amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mke wake kwa maksudi wakiwa wamelala kitandani alipokasirika kufuatia kunyimwa na mke huyo tendo la ndoa. #dailymodealer #modealertv #modealer839 #modealer #matukiotanzania #katavi Powered by @next_fashion_brand https://www.instagram.com/p/CiepEADqEzL/?igshid=NGJjMDIxMWI=








