Waswahili husema #Ufalme hauna kikomo bali hurithishwa mwana, historia yake kwenye uhai wa #BongoFlava haifutiki kwenye kumbukumbu za Watanzania.... Kutoka #MjiKasoroBahari Morogoro Leo Ni kumbukumbu ya Kuzaliwa Kwa #MfalmeSele #SimbaDume #BabaTu daNaSanaa @afandeseleking Sisi #shilawadu wa #CloudsMediaGroup Tunakutakia kila la heri kwenye maisha yako ya kila siku Mzee babaaa... Happy birthday Icon #HappyBirthdayAfandeSele











