MSALABA
MSALABA http://wp.me/s24i5u-msalaba
“Unaweza Kuusifia Msalaba Uwezavyo ILA Hauna Chochote Kama HAUMAANISHI Yule Aliyeangikwa JUU YAKE… Hata Wale WANYANG’ANYI WAWILI Walisulubiwa Kwenye Misalaba Lakini HAINA NGUVU… Nguvu Ya Msalaba Haiko Kwenye MTI BALI MTU [Yesu Kristo]… Uamini Msalaba Upendavyo Ili kama MOYONI MWAKO Hauna ALIYEKUFA MSALABANI Hakika UMEPOTEA” Yesu Kristo Ametoka Msalabani, Yuko Hai Zaidi ya Miaka 2000 Iliyopita. Ms…
View On WordPress











