1. Jana, nilikutana na boy fulani akaniuliza mbona nimekunja uso. , nikamjibu, nataka kuiweka kwa bag. Sababu mi sipendi
ujinga.
2. Juzi neighbor yangu alikuja akaniambia nipunguze sauti ya radio anataka kulala. Jana akipika chapoo na mimi nkamwambia
apunguze harufu ya chapati nataka kula ugali.
Saa hii tuko kwa landlord tunaongea hio maneno. Ju sipendi
ujinga.
3. Ushawahi katia mrembo sana mpaka anakushow uende kwao unapata hakuna mtu na pia yeye hayuko......KUMBE HUYO
MREMBO HAPENDI UJINGA.
4. Sasa polisi anatusimamisha eti juu number plate ya nyuma na ya mbele haifanani, alafu beshte yangu anamuuliza kama uso yake na matako inafanana.......mi imebidi nicheke sai tuko central ndo napatiana simu, so nitakua mteja kiasi .Hata polisi kumbe
hawatakangi ujinga.
5. Ex wangu amenicall kuitisha earphones zake..nmempelekea earphones nkachukua simu yangu..nmemwacha akiziconnect kwa
radio. Hata mimi nmerealise sipendangi ujinga.
6.Nimeenda hosi kupimwa ugonjwa, results kukam doc ananisho ati choo yangu ni mbaya....sai najenga ingine, sipendingi ujinga mimi
7. *After sex dem anakuambia umpee panty ilianguka chini ya bed, unapata ni mbili na hukumbuki yake ilikuwa colour
gani...*Hapo ndio unatambua ufisi pia haitakangi ujinga*
8 . Nlitoka rave 3am juzi.Kufika Moi avenue taxi ya home inalipisha 1500 na basi ya kwenda Mombasa inalipisha 700, Nlienda
Mombasa na 700 nkarudi na 700 na nkabaki na mia. Sitakangi
ujinga mimi.
9. Mlevi anapanda gari alafu conda anamuuliza"na
hii ulevi yako utaenda mbinguni kweli" mlevi akamjibu"kama mnaenda mbinguni simamisha gari nishuke mimi naenda tu apa
ngara.......….........PIA MLEVI HAPENDI UJINGA
10. Mtoi wa neighbour amenizoea sana. Nikimtuma kitu kwa duka anakula tu. Juzi nilimtuma mkate akaula, jana nikamtuma
blueband akala. Leo nimetuma super glue, saa hii haongei. Ujinga sipendi!..
USICHEKE PEKEE YAKO...SHARE NA WENGINE
KISHA TUNGA SIPENDI UJINGA YA KWAKO
Lets have funny 😂😂😂😂😂