JE MTIBWA INAELEKEA ILIPOPITA KLABU YA SOUTHAMPTON?
Nchini England katika ligi kuu ya soka nchi hiyo kumepita timu nyingi zenye sifa mbalimbali na ambazo ziliwahi kushika hisia za mashabiki wa soka ulimwengu mzima. Katika timu hizo kuna timu ambazo hazikuwahi kubeba mataji yoyote ya maana lakini zimewahi kuwa zinazungumziwa kiulimwengu. Mojawapo ya vilabu hivyo ni klabu ya Southhampton. Klabu hiyo ilikuwa nigumzo kwani ilikuwa inatoaga ushindani…
View On WordPress











