Nimeulizwa hivi... Kwanini zamani mlikua mnaitwa Timamu Effects na sasa mnaitwa Timamu African Media. Nikajibu hivi... Zamani tulikua bado wadogo kiakili na kimaarifa lakini sasa tumekua na waliojitambua wamebaki lakini walioona haiwafai WAMESEPA...! Mapambano yanaendelea. New project #ndiohivyo @monalisatz @singlemtambalike








