Lighting ndio kitovu cha ubora wa picha katika Filamu! Thanks God kwa kidogo ninachokijua na kufanikisha hii shot! Loading...! #NewMovie

@theartofmadeline
Stranger Things

PR's Tumblrdome
Show & Tell

#extradirty
sheepfilms
Aqua Utopia|海の底で記憶を紡ぐ

izzy's playlists!
Cosimo Galluzzi
occasionally subtle
2025 on Tumblr: Trends That Defined the Year
DEAR READER
Not today Justin

oozey mess
Peter Solarz
taylor price
Sweet Seals For You, Always
h
trying on a metaphor
Alisa U Zemlji Chuda

seen from Malaysia
seen from United States

seen from Canada

seen from United States
seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from Singapore
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from United States

seen from Canada
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
@timothconrad
Lighting ndio kitovu cha ubora wa picha katika Filamu! Thanks God kwa kidogo ninachokijua na kufanikisha hii shot! Loading...! #NewMovie
#TUJADILI Unadhani kwenye filamu zetu ni vyema kutumia #Kiswahili au Lugha za kigeni??? #FilamuZetu #TimamuTV
Dah, kuna wakati mtu unafanya kitu mpaka unashindwa kuamini kama ni wewe umefanya! Najiuliza sijui niiachie na hii ili watu waamini tunaposema Tanzania movies haijafa tunamaanisha safari ya kuelekea #Hollywood imewadia! #NewProject #DirectedByTimothConrad
Mungu nakuomba unibariki kwa maamuzi mazuri ninayotaka kuyachukua juu ya maendeleo ya tasnia yangu na watanzania wote! #California #FilmFestivalsUSA!
JIPU LINGINE! Unadhani Sanaa bila mazoezi ya kuiweka vema Sanaa yako kunashusha tasnia kwa asilimia ngapi??? #Tujadili #TimamuDarasa
NIIGIZAJE! @HassanDaffur kauliza mashabiki wake ambao wameiona filamu ya #Mhuni! Je filamu ijayo aigize uhusika wa muonekano UPI kati ya A na B??
DIRECTOR NI WITO! Kazi haikua rahisi maana wengine wanaweza kudhani kwa sababu ni short film basi itakua easy easy, director Dorice Kaizirege hakuwa ni mwenye kukurupuka kama umekosea utarudia hata Mara mia ili mradi kipatikane kitu kizuri! Timamu inajivunia sana kuwa na Wasanii wapya wenye kujiamini na vipaji vya hali ya juu pia tunajivunia kuwa na #Directors wanaojielewa na kitambua majukumu yao sio WAPENDA SIFA kwa kazi ambazo hawajazitolea jasho! Hongera sana Dorice pamoja na Wasanii wote mlioshiriki na kufuata muongozo wa Director wenu hatimaye #Mhuni imekuwa filamu BORA!Tungoje TUZO tuu au siyo???
Haya sasa wadau na wapenzi wa filamu za Timamu na Tanzania kwa ujumla! Safari ya kuelekea kuleee kimataifa imewadia! Timamu African Media inaanza na hii! Nimeona niitoe mapema ili taarifa za tuzo za kimataifa zitakapojitokeza usisikie ooh filamu za Timamu hatuzioni alafu zinashinda matuzo! kabla sijaizungumza mengi Tafadhali bonyeza hapa 👇 https://m.youtube.com/watch?v=o3kMaxTwEsM
SANDAKALAWE...! Kuna watu hua wanasema #TimothConrad movies zako na za Timamu hua tunashtukia tu zimepata tuzo marekani mara Nigeria, alafu hatujawahi hata kuziona, ngoja leo nitoe Moja kati ya filamu hizi kila mmoja aione #BURE! Kwa kutazama tu covers na majina unapendekeza ipi kati ya hizo?? #ChaguaMoja #Newfilms!
Natangaza fursa nyingine kwa waigizaji... Wanahitajika mabinti wadogo wa umri kati ya miaka kumi mpaka kumi na sita. Kwa ajili ya filamu mpya ya Timamu inayoanza kurekodiwa jumapili hii hapa hapa dar. Kama ni wewe au unamfahamu mwenzio piga 0714623966 au 0737222338. (at Timamu African Media Sinza Dar)
Nani anamkumbuka Toxstar, kitambo kidogo aliimba wimbo fulani na Ally Kiba. Hivi unaitwaje vile ule wimbo???? @toxstartz
Anaitwa Lumole Matovolwa au Biggie. Nambie unamkumbuka kwa filamu gani???
Nimeulizwa hivi... Kwanini zamani mlikua mnaitwa Timamu Effects na sasa mnaitwa Timamu African Media. Nikajibu hivi... Zamani tulikua bado wadogo kiakili na kimaarifa lakini sasa tumekua na waliojitambua wamebaki lakini walioona haiwafai WAMESEPA...! Mapambano yanaendelea. New project #ndiohivyo @monalisatz @singlemtambalike
Kama macho yako yanaona vema nambie maneno haya yanasomekaje?
Let's get ready for the New project...
Happy moment! Habari za muda huu jamani????
Leo niwajuze kitu, kabla sijaingia kwenye film making nikiwa kama Director | Producer | Cameraman | Editor | Writer Nilianzia kwenye Graphic designing, baada ya kuisomea nikafaundisha kwenye chuo cha AIBM kilichopo kariakoo kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Lakini baadae Filamu zikaniteka, pamoja na yote sijaiacha fani hii hua nadesign movie posters kama umewahi kuona posta ya Kisate | Dr. Max | Fundi Seremala | Itikadi | Kigodoro | Taariku Salaa na nyinginezo. Pia nimedesign logo nyingi za video na Still nadhani nyingi mnazijua but moja wapo ni ya AYO TV ya Millard Ayo. Haya leo nimedesign haka kalogo, naomba maoni yenu ipi iko poa kabla sijaipeleka kwa mwenyewe???