Rwanda Premier League: Ndarusanze Jean Claude « Lambalamba » ayisaidia Rutsiro FC kuyishinda Kiyovu Sports.
Rwanda Premier League: Ndarusanze Jean Claude « Lambalamba » ayisaidia Rutsiro FC kuyishinda Kiyovu Sports.
Mshambuliaji kutoka Burundi, Ndarusanze Jean Claude maarufu kama “Lambalamba” anamaliza kuyisaidia timu yake ya Rutsiro FC kupata alama tatu za mwanzo kwa kuishinda timu ya Kiyovu Sports bao (2-1) katika mchezo wa ligi kuu inchini Rwanda. Katika mabao hayo (2-1) ambayo wanamaliza kiyishinda timu ya Kiyovu Sports, mshambuliaji huyo wa zamani wa timu ya Kayanza United alipachika bao la kwanza la…
View On WordPress