Kwa heshima iliyokubwa, Kampuni yetu ya ROFACOL TANZANIA inapenda kutoa pongezi za dhati kwa dada yetu na mdau mkubwa wa samaki Asilatu Shechonge kwa kutunukiwa shahada ya Uzamivu PhD katika chuo kikuu cha Dar-Es-Salaam, kwa sasa Tunamtambua kama "Dr.Shechonge" Hakika ni mpambanaji katika sekta ya samaki na ataendelea kufanya hivyo. Ni Dada mwenye akili nyingi na ametusaidia mawazo mengi katika kusonga mbele. Mungu aendelee kumsimamia amjalie uzalendo @acltwo Now a #phdholder #greatmove #lol its time for you now to change your IG profile ID, no more student, just proud of yourself, write it something lovely referring your award. @benjaminngatunga @georgeturner44 (at Rofacol Tanzania) https://www.instagram.com/p/ByDc9J6HDb_/?igshid=4bxd27koj3hw