We are all right behind you my doll @rayc1982 Some things take time and patience. Just because you can't see the change quite yet, doesn't mean the transformation isn't well underway. Gestation and birth have their own timing. Do what you need to do. Do not doubt your process. #RemainBlessed #StayHappy #Repost @rayc1982 ・・・ Old has always been Gold No matter what! Kuwa na imani, Jiamini, Jikubali, hujachelewa fanya uamuzi mmoja tu kuwa hakuna linaloshindikana na Yule alie alie basi njia yako ataifanya fupi na milango ya baraka ni saba mara sabini, mtafute kwa imani na umwambie yote unahitaji kwenye maisha na atakurejeshea kila kitu chako likilichoibwa na shetani muovu tena aid ya uliyokuwa nayo hapo mwanzo kwani. Pangisha mtu mmoja tu kwenye moyo wako ambae jina lake anajiita imani, ukiwa nae Huyo yote yatakuwa salama. #YoteYanawezekanaKwaImani 📌