Shetta aanika historia yake na Mwana FA
Shetta aanika historia yake na Mwana FA
Msanii wa Bongo Fleva Shetta ameweka wazi historia iliyopo kati yake na binamu aka Mwana FA kwa muda wa miaka kumi.
Shetta ameandika ujumbe mrefu sana kupitia ukurasa wake wa instagram uliosomeka “Watu wengi Hawajui kuwa Binamu yetu Hamis Mwijuma Ndo msanii wa Kwanza kabisa Kufanya nae wimbo wangu wa kwanza kunitambulisha kwenye Mziki miaka 9 iliyopita Ikiwa ni msanii Mchanga, Wimbo huo…
View On WordPress


















