JUMAMOSI hii kwenye THE PLAY▶LIST ya Mnyamwezi @LilOmmy the baddest boi anadondoka @harmonize_tz #Niambie unafikiri atabonyeza ngoma gani 5 kali anazozikubali Na Wasanii gani watakuwepo kwenye list yake? Tegesha 100.5 @timesfmtz kuanzia Saa 6 mchana. #Showlakibabe #thePLAYlist











