Almost at 100,000 Views #boutross #shraplife #shrap #6ixviewsii8k #shrapgod @boutross_munene Performs Mbona which is a single from his well accredited mixtape 6ixviewsii8k . MBONA is a Kiswahili Word that Means Why . Video Shot and Directed by @kingzvisualz.ent Beat Produced by @ceezy_254 Executive Produced by @musau_ and @boutross_munene LYRICS ( Intro ) Aye Ceezy pass me the lighter Yoh Ceezy pass me the lighter Mi huingia base naitinga Geri haijali makali mapinga , Ngeus alitry kunitinga shida alipata kundule imetingwa, nilipatwa Niki..aaah aye aye yeah yeah Yeah yeah yeah ( VERSE ) Mi huingia base naitinga Geri haijali makali mapinga , Ngeus alitry kunitinga shida alipata kundule imetingwa Nilipatwa nikiseti nikashikwa nikauliza mambang'a mnadai mapinga , we ulikuwa wa kwanza kunitoka sai unateta ati bouti anaringa Mi nimelelewa jiji tangu enzi za maboro na fila Kukuwa mauru lazima tangu niingiage na braids Mbicha, Hata wahenga walinena bado walidedi na stori ikaskika , So ata ukichotwa na dinga onyesha hiyo ndole ukizima (haa) (at Nairobi, Kenya) https://www.instagram.com/p/CBy8GtqlXh4/?igshid=1ehyz8cdskqen