Leo ni Mwaka Mmoja bila wewe mama. Umekuwa mwaka mgumu sana. Sikuwahi kuishi bila wewe kwa zaidi ya miaka 55. Namshukuru Mungu kwa maisha yako duniani. Maneno hayawezi kuelezea niliyopitia Mwaka huu ambao haupo. Ila namshukuru Mungu kwa wema na upendo wako. Familia ya Mama Mangowi inatoa shukurani za dhati kwa wote mliotupa faraja, ushirikiano na michango yenu wakati alipofariki Mama Mangowi. Tulifarijika sana. Ibada ya shukurani na kumbukumbu ya kifo Cha Mangowi itafanyika nyumbani kwake Mnazi Mmoja, Kiboriloni mjini Moshi. Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina lake lihimidiwe. Mwanga wa milele umuangazie, raha ya milele umpe eeeh Bwana. Amina. #mtotowanesi #ripmangowi #firstanniversary #shukurani #foreverinmyheart #ripmama #wemissyoumama #weloveyoumama https://www.instagram.com/p/CZayn9ro7Lu/?utm_medium=tumblr

















