Ilikuwa siku ya kupendeza sana siku hii katika sikubya ibada ya NGUVU YA IBADA TOUR 31.01.2022. Hakika tulimwona Bwana akitenda na tulipata muda mzuri sana wa kusema na Bwana kwa sifa, kuabudu na kwa neno zuri aliloliachilia ndani yetu. #nguvuyaibadatour2021 #sinajina #sinajina #ashleynassary #thepowerofworship #jesus #worship #earthtoheaven #godofwar (at Dickson Eremiah.) https://www.instagram.com/p/CLEEezwJWj6/?igshid=bhp5nan79iid













