Kila nilipo utanikuta na wanangu/ Tunabang kihardcore so mamishe za machangu/ Nikipiga mishe nikipatacho ni changu/ Japo sio kingi kihivyo nashea na ndugu zangu... Hatumuachi mtu nyuma kila hatua tunaelavete/ Tunazichanga zikijaa tunacaluclate/ Tunaishi simpo hatuna hizo za kucomplicate/ Maisha ni hatua moja moja tu tunaenda fresh.... #kiwalanikids #chamalawana #sio_mimi #wasakatonge #bronxhustlers #rap&fashionfussion #zungu_nation💫 #zungu_worldwide #bombronx_kiwalani Shot by @modocrank Creatives by @zungu (at Bombom Kiwalani) https://www.instagram.com/p/B0ta4PkAIoj/?igshid=1qdj612f4pfpb











