Mwanangu, Shujaa wangu
Mwanangu, Shujaa wangu Nitamlinda na nitazidi kumlinda, siwezi kumuona akipitia machungu peke yake
Sylvia’s POV Maisha yangu yote nilitamani kuwa na nguvu ya pesa. Pesa ya kufanya niweze kutatua tatizo lolote lile lililopo mbele yangu. Nimekua nikijua mimi ni yatima, maisha yangu yalikuwa duni na fukara na yalifanya niamini pesa ndio sabuni ya roho. Pata pesa, umefanikiwa kwenye maisha. Hata kama wakisema pesa sio kila kitu ila inabidi tukubali kuwa pesa ni kila kitu jua likichomoza kila…
View On WordPress












