Kwenye #THETRENDZ Jumanne hii Tar 27 Feb, atakuwepo Zahra @zahra_officially ndani ya Dizzim Online kuanzia saa nne kamili asubuhi. Ungana na @deejaytara @ms_enzy_kenzy na @danpaul_255 Sikiliza kupitia App ya Dizzim Online inayopatikana Playstore na Appstore au kupitia website ya www.dizzimonline.com #Namtafuta #USIKOSE









