Kura Yangu Huipati
Wanapochagulia hujitenga na waliowachagua kwa lengo la kujinufaisha. Ufadhili wao hutoweka na hisani kuadimika.
Sifa zako ni kalili, ufadhili umesita,Unao wingi wa mali, wakata wasiyopata,Tumetambua ukweli, tumejua lilo tata,Kura yangu ungepata, ungekuwa mfadhili! Kivita twakukabili, mwafulani utajuta,Tumechoka kwa kejeli, kwetu hizo zimekita,Mheshimiwa hujali, kama unavyojiita,Kura yangu ungepata, ungekuwa mfadhili! Unajua yetu hali, Kwa matendo umesita,Hayakufai makali, uanze zako kuteta,Hutufaidi…
View On WordPress













