MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -MAY [SIKU YA 10]
MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -MAY [SIKU YA 10]
NGUVU YA UFUFUO
1. UMEFUFULIWA PAMOJA NA KRISTO YESU; Omba nguvu ya Ufufuo (nguvu ya Roho Mtakatifu) IBADILISHE KUFIKIRI KWAKO ili UYAWAZE YALIYO JUU (Ufikiri kwa kiwango cha juu katika kila eneo la maisha yako, na utofautishwe na wanadamu wengine, kwa namna ulivyo na uwezo na akili kubwa mno). Uhakikishe umeomba kwa imani, mpaka UWEZO WA KUYAWAZA YALIYO JUU ulioupokea kwa KUFUFULIWA PAMOJA NA…
View On WordPress
















