Uislamu Hatua Kwa Hatua

seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from United States

seen from Poland

seen from United States

seen from United States

seen from United States
seen from United States

seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from Türkiye
seen from Türkiye

seen from Türkiye
seen from India
seen from United States
Uislamu Hatua Kwa Hatua
Mambo matano ambayo Mungu anayataka kutoka kwako ni amani ya moyo hata kama jambo ni baya, kujisalimisha kwake, kuwa mnyenyekevu, mtiifu na mwaminifu kwake. Hiyo ndiyo maana ya Uislamu kwa Kiarabu. #uislamu #islam https://www.instagram.com/p/B_uLovxHgk8/?igshid=dy4fyucb0q9d
Ni eneo ambayo ina lengo la kutangaza uhusiano kati ya mtumishi na Mola wake katika masuala yote ya ibada. Pia kueleza uhusiano imara kati ya ibada na maisha ya watu
Kuyajua majiNa mazuri ya Allah Na sifa zake za juu, Ni elimu tukufu zaidi kuliko zengine, kila jiNa lake Allah liko Na sifa maalumu, majiNa yake Ni sifa nzuri pekee Na zilizo kamilika, Na kila jiNa liko Na muktadha (mazingira) yake Na vitendo vyake, Na kila kitendo kiNacho fanyWa Na kiumbe chake yeye ndiye muhusika Wa kweli, Na Ni muhali kuvua dhati yake Na majiNa yake, Na kuvua majiNa yake Na sifa zake Na maaNa yake ,
Kuyajua majiNa mazuri ya Allah Na sifa zake za juu, Ni elimu tukufu zaidi kuliko zengine, kila jiNa lake Allah liko Na sifa maalumu, majiNa yake Ni sifa nzuri pekee Na zilizo kamilika, Na kila jiNa liko Na muktadha
Masharti ya mtu kulazimika kutoa Zaka
1. Uislamu
Haikubaliwi Zaka kwa kafiri, kwasababu Mwenyezi Mungu U hakubali matendo yake.
2. Kuwa huru (muungwana).
Haikubaliwi kwa mtumwa kutoa Zaka, kwasababu mali yake ni milki ya bwana wake.
3. Kumiliki Nisabu.(kiwangu)Maana ya Nisabu.Nisabu.
Ni kiwango maalumu cha mali ambacho kwamba kikifikiwa basi inalazimika mali hayo kutolewa Zaka.
https://www.islamkingdom.com/sw/zaaka-hukumu-yake-na-masharti-yake
Swala ya Ijumaa
Hukumu ya Swala ya Ijumaa
Swala ya Ijumaa ni wajibu kwa kila Muislamu, aliyebaleghe, asiye na udhuru wa kuiacha.
Dalili ya hilo:
1. Neno la Aliyetukuka: {Enyi mlioamini! Kukinadiwa Swala kwa siku ya Ijumaa, endeni kwa haraka kwenye utajo wa Mwenyezi Mungu, na muache biashara} [62: 9].
2. Neno la Mtume ﷺ: ( Hawatoacha watu kuhudhuria Ijumaa, au Mwenyezi Mungu Atapiga mihuri juu ya nyoyo zao, kisha wawe ni miongoni wa walioghafilika) [Imepokewa na Muslim]
https://www.al-feqh.com/sw