Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Nne Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Nne…
seen from United States
seen from Saudi Arabia

seen from Malaysia
seen from United Kingdom

seen from United Kingdom
seen from Netherlands
seen from South Korea
seen from China
seen from China
seen from Germany

seen from Malaysia
seen from Canada

seen from United States

seen from Canada

seen from Germany
seen from China
seen from China
seen from China
seen from China
seen from Germany
Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Nne Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Nne…
Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Tano Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Tano…
WAZEE WA MKEKA/KUBETI MPOO!!
WAZEE WA MKEKA/KUBETI MPOO!!
USHUHUDA: AFUNGULIWA TOKA TABIA SUGU YA KUCHEZA KAMARI, MAARUFU KAMA KU-BET AU KUTANDIKA MIKEKA!
Ngoja nikupe mchongo wa kukutoa jumla kwenye huu MSALA.
Huu ni USHUHUDA wangu mwenyewe!
Hivi nikikuambia kati ya Februari 2015 na Desema 2016 nilipoteza zaidi ya 10,000,000/- (milioni kumi) kwa kubeti utaamini? Sina sababu ya kuendesha ligi isiyo na kikombe kubishana na wewe! Ni zaidi ya 10m please…
View On WordPress
Matamshi ya Mungu | Sura ya 68
Matamshi ya Mungu | Sura ya 68
Neno Langu linatekelezwa katika kila nchi, mahali, taifa na kikundi, na neno Langu linakamilishwa katika kila pembe wakati wowote. Maafa yanayotokea kila mahali si vita kati ya watu, wala si mapigano na silaha. Hakutakuwa na vita tena baadaye. Wote wako katika mfumbato Wangu. Wote watakabili hukumu Yangu na watadhoofika kati ya maafa. Acha wale wanaonipinga na wale wasioanza kushirikiana na Mimi…
View On WordPress
“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 5/5
“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 5/5
“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” – Ushuhuda wa Kupitia Hukumu Mbele ya Kiti cha Kristo na Kupokea Uzima | Swa hili Gospel Movie Clip 5/5
Mwenyezi Mungu ameanzisha kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu kwa kuonyesha ukweli. Utangulizi wa hukumu kabla ya ufalme mkuu mweupe kuanza. Tunapitia hukumu ya Mungu na kuadibiwa…
View On WordPress
Neno la Mungu | Sura ya 34
Neno la Mungu | Sura ya 34
Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu zote , mwenye kutimiliza yote na Mungu wa kweli kabisa! Habebi tu nyota saba, ana Roho saba, ana macho saba, anafungua mihuri saba na kufungua hati ya kukunja yenye maandishi, lakini zaidi ya hayo Yeye anaendesha mapigo saba na vikasa saba na kufungua radi saba; zamani za kale Yeye alipiga vinumbi saba! Vitu vyote vilivyoumbwa na kufanywa kuwa kamili na Yeye…
View On WordPress
Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"
Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | “Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko”
Utambulisho
Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za B…
View On WordPress
Ushuhuda wa Mkristo: Jinsi Alivyoshinda Majaribu ya Kuwa na Mpenzi wa Siri (Sehemu ya 1)
Ushuhuda wa Mkristo: Jinsi Alivyoshinda Majaribu ya Kuwa na Mpenzi wa Siri (Sehemu ya 1)
Na Xiyue, Mkoa wa Henan
Jioni moja, Jingru alikuwa akinadhifisha kwake.
“Krr, krr.” Simu ilianza kulia. Aliijibu na sauti ngeni lakini bado inayojulikana ililia sikioni mwake: “Halo! Ni Wang Wei. Uko nyumbani!”
“Wang Wei?” Jingru kwa namna fulani alistaajabu: Kwa nini alikuwa akimpigia simu sasa baada ya miaka mingi sana?
“Ndiyo … niko nyumbani. Kuna nini?” aliuliza Jingru kwa mshangao.
View On WordPress