Machozi ya Nabi ni mzigo mpya wa klabu za Tanzania
Ligi kuu Tanzania iemshuhudia makipa wazuri sana. Makipa kama Steven Nemes, Mohammed Mwameja,Ali Bushiri,Juma Kaseja, Ivo Mapunda na wengineo, lakini kati yao hakuna aliyewahi kuchukua tuzo ya golikipa bora wa mashindano yanayoandaliwa na CAF. Golikipa wa Yanga Djigui Diara. Ni mzigo mwingine kwa makipa wa Ligi ya Tanzania. MABINGWA wa soka nchini Tanzania klabu ya Yanga wameshindwa kutwaa taji…
View On WordPress















