Mwanasoka auawa uwanjani
Mwanasoka wa Cameroon amefariki dunia baada ya kurushiwa kitu kilichompiga kichwani wakati wa mechi jijini Algiers, Algeria.
Mchezaji huyo wa JS Kabylie, Albert Ebosse (24) alikuwa mmoja wa walengwa waliotupiwa vitu, ikiwa ni pamoja na mawe kutoka kwa washabiki wao kutokana na kutoridhishwa na walivyocheza dhidi ya USM Alger waliowafunga nyumbani.
Ilitangazwa kwamba Ebosse alifariki dunia baada…
View On WordPress














