HaPpY 🍿🍴 BirTHday my lovely young Sis Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Mungu akupe hitaji la moyo wako. Akujaalie afya tele, upate kuiona miaka mingine mingi. I am proud and ecstatic for you, our last born (mziwanda) 🍻🍣🍟🌻🎂🎁🎂 #Vamege ISM 01st June 2017 (at Dar es Salaam, Tanzania)










