Mambo 10 Muhimu Vinavyotakiwa Kuimarisha Kikundi
Mambo 10 Muhimu Vinavyotakiwa Kuimarisha Kikundi
Utangulizi Makala haya yamelenga katika kusaidia vikundi vidogo vidogo vya aina tofauti kuanzia zile za kiuchumi, kijamii, kielimu, kitaaluma, kidini na kikabila nk. Ni matumaini yangu kuwa makala hii haitatumiwa kama muwa arobaini wa kumaliza matatizo ya kwenye vikundi bali itatumika kama chachu ya kuwa mbunifu zaidi kwenye kuhakikisha vikundi vinakuwa na matatizo ambazo zinaweza ama kuzimudu au…
View On WordPress







