Repost from @azamsports2 #MabingwaWaUlingo Leo ndio leo katika ukumbi wa Ubungo plaza kwani bondia namba moja Africa, Hassan Mwakinyo atakuwa na kazi moja tu kuutetea mkanda wake wa ABU pale atakapopanda ulingo kuzichapa na Julius Indongo kutoka Namibia. Pambano hili litasindikizwa na mapambano mengine ya utangulizi Shughuli nzima itakuwa Live AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 20,000 unatazama usiku huu wa mabingwa wa Ulingo. #Vitasa #MabingwaWaUlingo #HassanMwakinyo #BabadUpdates (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CTWCuMKqAZ3/?utm_medium=tumblr









