#salushinebrand Wanaume wengi huwa tunawateka mawawake kimwili lakini wanawake wengi huwateka wanaume kiakili Hivyo kwa sisi #wanaume hupata tabu na shida nyingi kumuongoza mwanamke wakati huo mwanamke hutumia akili na kujifanya yeye mnyonge kumbe anaenyongwa ni mwanaume #salushine #yangafc https://www.instagram.com/p/CDdITTAhcG9/?igshid=1si7tj9yts41q













