Wanafunzi zaidi ya 1500 kuthaminiwa
Wanafunzi zaidi ya 1500 kuthaminiwa
Kampuni ya East Africa Television Limited kwa kushirikiana na Msichana Initiative Organisation imeanzisha mpango wa kuwasitiri wanafunzi 1500 kwa kuwapatia pedi za kujisitiri kipindi cha hedhi kupitia kampeni ya ‘Namthamini’.
(more…)
View On WordPress















