HEKIMA YA LEO [06-04-2017]
ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (4) 4. Jua kwa nini unaishi • Kuwa hai ni uthibitisho tosha kwamba kuna sababu na kusudi la wewe kuwepo. Kusingekuwa na sababu ya wewe kuwepo, basi usingekuwa hai leo. • Umeumbwa kwa kazi maalumu, umeletwa kwa kusudi maalumu. Utoshelevu katika maisha huja kwa kutimiza kazi uliyoletwa kuifanya. • Una shauku ya kufanya nini? Unaumizwa na tatizo gani katika jamii…
View On WordPress














