Yanga mpya inahitaji watu makini, wasomi, wabobevu wa uchumi na biashara na wanaojua soka ni biashara kubwa. Twende na @frank_kamugish katika nafasi ya Ujumbe wa Kamati ya Utendaji kwa Yanga Imara. #yangampya #yangaimara #yangasc (at Mac Auto Express Garage) https://www.instagram.com/p/BxAthFiHgiS/?igshid=1d3yk1vdeipcm














