ESSENCE" YA WIZKID NA TEMS YAFIKISHA STREAMS MILIONI 30 ON APPLE MUSIC; Essence " ya Wizkid na Tems imefikisha Streams milioni 30 Kwenye Mtandao wa Apple music Ngoma hii ilitolewa Rasmi October 30 | 2020 Kwenye Digital Platform Ambapo Kwenye Mtandao wa YouTube INA viewers milioni 17 Hii ni official Audio sio Video. NB: Wanamuziki wengi wa Nigeria huwa hawashughuliki sana na YouTube au kuweka Nguvu kubwa au kung'ang'ania kuvunja record za YouYube . Nguvu kubwa wameweka kwenye Mitandao inayouza ( Official Audio Song )kama Apple music, Spotify, Deezer, Amazon music nk. hii Mitandao niliyoitaja inalipa Vizuri mno kuliko hata YouTube , ndio maana wanatajirika Mapema maana uwekezaji wao ni Mkubwa katika Masoko haya yenye malipo makubwa hata wakitajwa Kwenye majarida kama Forbes kuwa ni Matajiri wala huwezi kuwa na shaka nao ukiangalia Takwimu zao kimauzo ziko juu sana ukiachana na Mauzo ya Mtandaoni hawa Mastaa wa Nigeria wanapata show nyingi sana za Ulaya na Marekani na Show zao zinafanya vizuri kuliko ukija Hapa kwetu Tanzania unakuta Msanii au Mwanamuziki anaejimwamba Fai unakuta anaongoza Kwenye Mtandao mmoja tu wa Kimauzo tena unaolipa pesa ya chini wakati Wa Nigeria takwimu zao kimauzo Mitandao yote ni kubwa sasa linapokuja swala Takwimu unakuta Mtanzania Anaongoza Sehemu moja halafu huyo huyo anataka ajumuishwe Kwenye Matajiri Jamani Watanzania inatakiwa tuache kukalili kuwa ukubwa wa wanamuziki wetu uko YouTube pekee bali inatakiwa msikilize Ngoma zao kwenye Mitandao yote inayolipa vizuri kama Apple music , Google Play , Amazon music , Deezer, Spotify, Tidal , hii ni Miongoni tu mwa Mitandao inayolipa vizuri Hata Dada Mange Kimambi Jana alisema wa Nigeria hawawekezi Nguvu kubwa YouTube Bali wanawekeza Nguvu Kwenye hii Mitandao inayolipa vizuri na pia na video zao wa Nigeria ni za kawaida sana . https://www.instagram.com/p/CQ20FAYrlIM/?utm_medium=tumblr