🗣“Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu. . “Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni lini wanatarajia kuwasili nchini (Nigeria) lakini tumejipanga kuwapokea kama walivyotupokea.” - Afisa habari wa Rivers United, Charles Mayuku https://www.instagram.com/p/CTy7i6yqjn5/?utm_medium=tumblr
















