Tunatarajia kuwapa mashabiki wetu burudani ya soka kwa kucheza mechi ya kimataifa dhidi ya Zesco United ya Zambia, itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumapili hii saa 11.00 jioni. Mechi hiyo ni maalum ya kutambulisha silaha zetu za msimu mpya kwa mashabiki wa soka, katika kilele cha siku yao ya 'AZAMKA'. Tukutane kwa wingi Azam Complex Jumapili hii! @yusufbakhresa @abdulkarim.amin #weareazamfc #timuborabidhaabora https://www.instagram.com/p/ChBqHmHqcQu/?igshid=NGJjMDIxMWI=










