🚨MKATABA WA JEZI🚨 @geitagoldfc 🗣 Uongozi wa Klabu ya Geita Gold Football Club, mapema leo umeingia mkataba na kampuni ya MASITA (@masitanzania) katika utengenezaji na usambazaji wa vifaa vya michezo vya Klabu yetu kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia msimu ujao wa ligi kuu Tanzania Bara. Mkataba huu umekuja kuiongezea thamani timu yetu kwa kuwa ni kampuni inayofanya vizuri zaidi katika utengenezaji na usambazaji wa vifaa vya michezo duniani yenye maskani yake nchini UHOLANZI. Kwa makubaliano hayo ni dhahiri kuwa timu yetu inaonyesha kupiga hatua katika eneo hilo kwani thamani ya jezi zetu za misimu miwili liyopita na huu uliopo kwasasa ni wazi kuwa huu unathamani kubwa zaidi.📃🙏 (cc: @masitanzania) 💎Geita Gold FC, The pride of Geita. #WeAreGeitaGoldFC💙 #WeAreGolds💪 #PiraKarasha #PiraElution #PiraDhahabu💎 https://www.instagram.com/p/CSepOCnKzS4/?utm_medium=tumblr