POWER OF ATTORNEY TANZANIA: MAANA, MATUMIZI NA USAJILI
Na Richard Kalokola UtanguliziKatika maisha ya kila siku, kuna mazingira ambayo mtu anakuwa na shughuli muhimu za kisheria au kibiashara lakini hawezi kuzitekeleza mwenyewe. Anaweza kuwa yuko nje ya nchi, anaumwa, yuko mbali na eneo ambako shughuli inapaswa kufanyika, au ana majukumu mengine yanayomzuia kushughulikia jambo hilo binafsi.Katika mazingira hayo, sheria inaruhusu mtu kumteua mtuā¦
View On WordPress











