STARS V NIGERIA: ADUI SI MUSA PEKE YAKE
STARS V NIGERIA: ADUI SI MUSA PEKE YAKE
Jioni ya kesho Taifa Stars itapambana na Nigeria kwenye mchezo wa Kundi G wa michuano ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2017. Stars inaburuza mkia kwenye kundi hili baada ya kupokea kipigo cha 3-0 kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Misri kule Alexandria mwezi Juni. Kikosi cha Nigeria chini ya kocha mzalendo Sunday Oliseh kinakuja kikiwa na nyota takriban 15 wanaochezea klabu za Ulaya.…
View On WordPress















