Mechi ya kirafiki ya kujiandalia AFCON 2019 kati ya Tomu yetu ya Taifa Stars na Mafarao, Misri ilichezwa usiku wa kuamkia Ijumaa Juni 15 na goli lake Ahmed Elmohamady la mnamo dakika ya 64 liliwapatia Mafarao ushindi. Vijana wa Taifa Stars waliucheza mchezo mzuri. Tazama hapa yaliyojiri: https://youtu.be/Q_PDfNAbg-k. Kuwa huru kusubscribe na kubofya alama ya kengele hapa ili usipitwe na makala yoyote: http://www.youtube.com/user/msonobari?sub_confirmation=1 au tafutiza ndani ya YouTube yako neno - hashtagmpasuamsonobari #MpasuaMsonobari #AFCON2019 #InternationlFriendly #TaifaStars #AFCONFriendly #Pharaos #Tanzania https://www.instagram.com/p/Byq3JEYgp3F/?igshid=1u6283t8hxund












