Ili kuhakikisha hakika unapata vibe kama lote Jumamosi hii pale viwanja vya Leaders kwenye @tigofiesta_2018 #mojakubwa 👆🏽💪🏽 Ndugu Zetu Wa @tmh.healthcenter Wamejitwika jukumu moja tu nalo ni kusimamia afya za wasanii wote watakaokuwa na kazi kubwa ya kukuburudisha kwenye jukwaa lile kubwa! Watatumia weledi Wao wote kuhakikisha afya zao ziko imara kabisa 💯 ili waweze kukupa wewe ndugu yetu vibe kama lote! @jubileeinsurance_tz @resolutioninsurancetz @gainsurance @tanzanianssf #mojakubwa #tigofiesta2018 #tmhhospital #afyatanzania #afyacheck https://www.instagram.com/p/BqfRosIBCE0/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1ssw2fe43qw23














