#mwanamke #pamoja na yote hayo ambayo mwanamke kakaifanyia mpaka sasa unajifanya hutaki kumsikiliza ila sisi tutakuona tu kwamba unafeli kumchukia mwanamke eti kisa kakufaanyia mabaya ama kakuumiza kwa namna yako Kumbuka hiki kuwa ukimdelete wapo wazee wamejaza bando kazi ya kudownload na hawajui kuwa nani ka upload #akiachika utasikia wahuni kitaa wanasema "KUNA KIKALI KIMEKUJA "" UJUe kuwa msitu mpya nyani wa zamani Hata nyani wenyewe wanashangaa mtaa umebadilika #pia usisahau kuwaambia #ADAMU HAKUMKANA HAWA BAADA YA KUMKOSEA NA KUMFANYA ALAANIWE NA MUNGU"" Ni ubavu wako huo @ salushine_ @salushinee @ salushine.com (at MkakaFulani) https://www.instagram.com/p/CAXl55Ggf_i/?igshid=1fkvxf081kxlw












