Uzuri wa #mwanamke ni #TABIA ...Sasa jua kirefu cha neno tabia kwa mwanamke TA :- TAKO BI :- BIDHAA A :- ADIM 👉 TABIA = TAKO BIDHAA ADIM 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 #mkwasi https://www.instagram.com/p/CJIH0A5r3Oa/?igshid=uzji1l6v3tet

#dc comics#dc#batman#tim drake#dick grayson#bruce wayne#batfam#batfamily#dc fanart





seen from United States
seen from Macao SAR China
seen from China
seen from United States

seen from Italy

seen from Bulgaria

seen from Malaysia
seen from Yemen
seen from United States

seen from Brazil
seen from United States

seen from United States
seen from China
seen from Germany
seen from Malaysia
seen from United States
seen from United States
seen from Egypt
seen from China

seen from South Korea
Uzuri wa #mwanamke ni #TABIA ...Sasa jua kirefu cha neno tabia kwa mwanamke TA :- TAKO BI :- BIDHAA A :- ADIM 👉 TABIA = TAKO BIDHAA ADIM 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 #mkwasi https://www.instagram.com/p/CJIH0A5r3Oa/?igshid=uzji1l6v3tet
#mwanamke #pamoja na yote hayo ambayo mwanamke kakaifanyia mpaka sasa unajifanya hutaki kumsikiliza ila sisi tutakuona tu kwamba unafeli kumchukia mwanamke eti kisa kakufaanyia mabaya ama kakuumiza kwa namna yako Kumbuka hiki kuwa ukimdelete wapo wazee wamejaza bando kazi ya kudownload na hawajui kuwa nani ka upload #akiachika utasikia wahuni kitaa wanasema "KUNA KIKALI KIMEKUJA "" UJUe kuwa msitu mpya nyani wa zamani Hata nyani wenyewe wanashangaa mtaa umebadilika #pia usisahau kuwaambia #ADAMU HAKUMKANA HAWA BAADA YA KUMKOSEA NA KUMFANYA ALAANIWE NA MUNGU"" Ni ubavu wako huo @ salushine_ @salushinee @ salushine.com (at MkakaFulani) https://www.instagram.com/p/CAXl55Ggf_i/?igshid=1fkvxf081kxlw
Uzuri wa #mwanamke ni #TABIA ...Sasa jua kirefu cha neno tabia kwa mwanamke TA :- TAKO BI :- BIDHAA A :- ADIM 👉 TABIA = TAKO BIDHAA ADIM 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 https://www.instagram.com/p/B6XoaUYpwGz/?igshid=269p36e9g117
#mwanamke #woman #pesa #money https://www.instagram.com/p/B5freGJnZ-y/?igshid=1kgdxpjlwohuq
Sikia wimbo eh moyo ukiimba kwa sauti kuu.Nipe japo neno nipate kitulizo kamili.—HTM
Mpatie Mamangu Amani
Mwanawe fasiti boni,sina furaha moyoni, Niyaonayo jamani,hayanipi mi amani, Sijui kakosa nini,humuhumu duniani, Mamangu adhulumiwa,nanyi babu mwangalia, ~Utunzi wa Hosea Namachanja #Mwanagenzi
Mwanawe fasiti boni,sina furaha moyoni, Niyaonayo jamani,hayanipi mi amani, Sijui kakosa nini,humuhumu duniani, Mamangu adhulumiwa,nanyi babu mwangalia,
Hana kweli pa kulima, baba shamba kakodesha, Huu kweli siyo wema,bali yanihuzunisha, Nikijaribu kusema,inanipanda puresha, Zindukeni jomba zangu,mumwokoe mama yangu,
Acheni kuangalia,mamangu akiteseka, Hana furaha kwa ndoa, nisikizeni hakika, Yale…
View On WordPress
Mungu alimuumba mwanamke kuwa msaidizi wa mwanamume. Lakini mwanamke atamsaidiaje mwanamume ikiwa mwanamume hana kazi ya kufanya? Oa ukiwa na kazi ya kufanya. Ukikigundua kipaji chako utakifanya kipaji hicho kuwa rafiki yako. Kuanzia hapo utapoteza marafiki, wengi, kwa sababu utakuwa na kazi ya kufanya. Kaini alimuua Abeli kwa sababu Abeli alibarikiwa na Mungu. Mungu akikubariki, na hawezi kukubariki ikiwa huna kazi ya kufanya, watu watakuchukia. Achana nao. Acha waendelee kukuchukia. #enockmaregesi #mwanamume #mwanamke #man #woman #kipaji #talent #ndoa #mariage https://www.instagram.com/p/BqhKz62nwer/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=apdw5nyfiqyt
#mwanamke @majagiking @gembethesniper @talantaz @muddygraffix @director_malcom https://www.instagram.com/p/BpFGg47Badb7wGbERoxiD-efg7uznA80qDLrmU0/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=d47qs0siv0j2