Pambano Kati ya @ibrahimuclass na #alanpina limemalizika round ya tisa kwa ushindi mkubwa sana kwa Ibrahim class kumpiga mpinzani wake kwa #ko Alan pina ni bondia mzuri mwenye rekodi nzuri mlingoni. Umesogezewa picha za Alan pina namna anavyotawala ulingo huko kwao #mexico na namna alivyopigwa leo . #dailymodealer #modealertz #modealer839 #modealertv #boxinglifestyle #mobox (at Mlimani City Grounds) https://www.instagram.com/p/CjJa_K7KEk1/?igshid=NGJjMDIxMWI=











