#VOA. | Rais Nguesso achaguliwa kwa kura zaidi ya asilimia 88
#VOA. | Rais Nguesso achaguliwa kwa kura zaidi ya asilimia 88
Hii ina maana kwamba ataendelea na utawala wake, ambao kufikia sasa, amekuwa akiongoza kwa miaka 36. Nguesso anaongoza nchi ambayo uchumi wake umedorora kwa kipindi kirefu, licha ya kwamba inazalisha mafuta kwa wingi. Mshindani wake wa karibu, Guy Brice Parfait Kolelas, ambaye alifariki muda mfupi baada ya vituo vya kupigia kura kufunguliwa, alipata asilimia nane tu ya kura. Kolelas aliaga dunia…
View On WordPress















