SIKU YA KIMATAIFA YA WAZEE
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Wazee Kimkoa yamefanyika leo kijijini Ikinda kata ya Ikinda Halmashauri ya Msalala. Kauli mbiu “UTHABITI WA WAZEE KWENYE DUNIA YENYE MABADILIKO “
View On WordPress
seen from France
seen from Malaysia
seen from Japan
seen from United Kingdom

seen from Germany
seen from Türkiye
seen from Türkiye
seen from France

seen from Australia
seen from United States
seen from Türkiye
seen from India

seen from United States

seen from United Kingdom

seen from United Kingdom
seen from China
seen from Canada

seen from France
seen from Türkiye

seen from Malaysia
SIKU YA KIMATAIFA YA WAZEE
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Wazee Kimkoa yamefanyika leo kijijini Ikinda kata ya Ikinda Halmashauri ya Msalala. Kauli mbiu “UTHABITI WA WAZEE KWENYE DUNIA YENYE MABADILIKO “
View On WordPress
Download Audio: Nyanda Madirisha - MATUKIO
Download Audio: Nyanda Madirisha – MATUKIO
Download Audio: Nyanda Madirisha – MATUKIO Download Audio: Nyanda Madirisha – MATUKIO Download Audio
View On WordPress
[Old Video] Nyanda Madirisha - Matukio
[Old Video] Nyanda Madirisha – Matukio
[Old Video] Nyanda Madirisha – Matukio
[Old Video] Nyanda Madirisha – Matukio
Download Video
View On WordPress
#DW: Hamas yatangaza muafaka na Fatah | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Hamas yatangaza muafaka na Fatah | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Tangazo hilo la leo (Jumapili Septemba 17) linasema kuwa Hamas iko tayari kukivunja chombo kinachoonekana kama serikali hasimu na iko tayari kwa uchaguzi.
Taarifa hii inakuja baada ya viongozi wa Hamas kukutana na kwa mazungumzo na maafisa wa Misri wiki iliyopita na wakati Ukanda wa Gaza unaoongozwa na chama hicho kukabiliwa na hali ngumu zaidi ya kimaisha.
Hamas inasema imekubaliana na…
View On WordPress
#DW: Suu Kyi kuzungumzia mzozo wa Rakhine | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Suu Kyi kuzungumzia mzozo wa Rakhine | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi wiki ijayo anatarajiwa kuuzungumzia mzozo katika jimbo la Rakhine, katika hotuba yake ya kwanza tangu kuuawa kwa mamia ya watu kwenye machafuko ambayo yamesababisha karibu Waislamu wa Rohingya 380,000 kukimbilia Bangladesh na kuichafua sifa yake ya kuwa mtetezi wa wanyonge.
Kwenye mkutano na waandishi wa habari, msemaji wa serikali Zaw Htay amesema Suu…
View On WordPress
#DW: Macron asema Uturuki ni mshirika muhimu | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Macron asema Uturuki ni mshirika muhimu | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Uturuki na Ujerumani ambao ni washirika katika Jumuiya ya NATO wameshambuliana kwa maneno makali, katika muda wa miaka miwili . Lakini Umoja wa ulaya kwa jumla umeshitushwa na hatua za ukandamizaji za rais Tayyip Erdogan dhidi ya wapinzani kufuatia jaribio lililoshindwa la mapinduzi nchini Uturuki Julai mwaka jana.
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel…
View On WordPress
#TRT: Mke wa Rais wa Uturuki awasili nchini Bangladesh kwa ajili ya matukio Myanmar Mke wa Rais wa Uturuki Bi Emine Erdoğan awasili nchini Bangladesh kufanya ziara katika kambi walizopewa hifadhi wakimbizi kutoka jamii ya Rohingya…
#DW: Al Shabaab wawakata shingo Wakenya 4 | Matukio ya Afrika | DW
#DW: Al Shabaab wawakata shingo Wakenya 4 | Matukio ya Afrika | DW
[ad_1]
Mkuu wa polisi wa Pwani ya Kenya, Larry Krieng, amesema shambulio hilo lilifanyika siku ya Jumatano (Septemba 6) asubuhi katika eneo la Bobo, kijiji cha Hindi, Kaunti ya Lamu.
Shambulio hilo linapelekea idadi ya watu walioripotiwa kuuawa kwa kukatwa shingo na wafuasi wa al Shabaab katika Kaunti hiyo kuwa 16 katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Mauaji ya kukatwa shingo yalikuwa jambo…
View On WordPress