#DW: Raila Odinga awashauri wafuasi wake wasusie kwenda kazini | Matukio ya Afrika | DW
#DW: Raila Odinga awashauri wafuasi wake wasusie kwenda kazini | Matukio ya Afrika | DW
[ad_1]
Taarifa kutoka ofisi ya rais nchini Kenya imesema vurugu zilizotokea katika baadhi ya maeneo nchini humo zilivuka mipaka na zilikuwa kinyume cha sheria. Msemaji wa rais Manoah Esipisu amesema maandamano ya amani ni haki ya raia na kwamba polisi watatoa ulinzi kwa wananchi wakati wote. Esipisu amesema polisi hawatawavumilia watu wenye nia ya kuvuruga amani.
Kwa mara ya kwanza Odinga…
View On WordPress















