TUNAULIZA NA KUJIBU WENYEWE KUHUSU AZAM FC
Kuna wakati kila nikifumba macho yangu, masikio yangu huwa yanasikia sauti za majonzi lakini sina uhakika kama nyuso za hao watu huwa zina majonzi kama sauti zao zinavyokuwa na majonzi. Wengi wanatamani siku moja wasikie vigelele na siyo majonzi tena kwenye nyumba inayoitwa Azam FC. Wenye nyumba mpaka muda huu washavuka salama Misri ila safari yao ya kwenda Israel (Kanani) ina mashaka. Kila…





