NBC Premier League Leo Jumatano. Saa 10:00 Jioni, KMC watakuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Yanga SC Mchezo huu utakuwa mbashara kupitia #AzamSports1HD Ni Kinoboys ama Wananchi nani kuondoka na alama tatu? Kwa kifurushi cha Shilingi 23,000 unatazama mechi hii na michezo mingine ya NBCPL. #Azammaxweb #Azamtvsport #NBCPLUpdates https://www.instagram.com/p/Co9LFxOqmY3/?igshid=NGJjMDIxMWI=











