#DW: Macron azindua mageuzi katika sekta ya ajira Ufaransa | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Macron azindua mageuzi katika sekta ya ajira Ufaransa | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Serikali ya Rais Emmanuel Macron imetangaza mipango kabambe ya mageuzi katika sheria za ajira nchini Ufaransa. Mpango huo unajumuisha mageuzi matano makuu kisheria ambapo kwa mara ya kwanza kampuni ndogondogo na za kati zitapewa kipaumbele. Hatua ya Macron inajiri wakati ambapo kura ya maoni inaonesha kuwa umaarufu wake umeendelea kushuka.
Rais Emmanuel Macron mwenye umri wa miaka 39 na…
View On WordPress










