Yanga Yaifuata Revers Kibabe ✈️✈️ 📍Nigeria🔰 #BABADUDATES (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CT73mO-KMin/?utm_medium=tumblr
seen from Singapore

seen from Australia

seen from Poland

seen from France
seen from Saudi Arabia

seen from United States
seen from Saudi Arabia
seen from China

seen from United States

seen from United States

seen from Saudi Arabia
seen from Egypt

seen from United States
seen from United Kingdom
seen from Germany
seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from Netherlands

seen from United States
Yanga Yaifuata Revers Kibabe ✈️✈️ 📍Nigeria🔰 #BABADUDATES (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CT73mO-KMin/?utm_medium=tumblr
@wizzaman_official @director_manollo #HALAZAROHO #BABADUDATES (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CTrJzo5qCWh/?utm_medium=tumblr
BONDIA Hassan Mwakinyo ameahidi kumpa kipigo cha maana mpinzani wake Antonio Mayala kutoka Angola kama asante kwa Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. : Mwakinyo ambaye atawania mkanda wa Afrika (ABU) wa uzito wa Super welter atapanda ulingoni kesho kwenye ukumbi wa Next Door Arena, Masaki katika pambano lililoandaliwa na kampuni ya Jackson Group Sports. : Amesema kuwa amejiandaa vyema na kwa vile atakuwa anapigana kwa mara ya kwanza chini ya uongozi wa Rais Samia, hatofanya makosa zaidi ya kushinda katika raundi za mwanzoni tu katika pambano hilo lililodhaminiwa na KCB Bank, Plus TV, Multichoice Tanzania, Tanzania Tourism Board, Onomo Hotel, Precision Air, Prestine Logistics, Urban Soul na washirika wa kimataifa Global Boxing Stars na Epic Sports Entertainment. : “Nitakuwa napigana kwa mara ya kwanza chini ya Rais Mama Samia Suluhu Hassan, sitamwangusha Rais na watanzania kwa ujumla, nawaomba mashabiki kufika kwa wingi ili kunipa sapoti,” amesema Mwakinyo. #babadudates (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CPYgQgur1yW/?utm_medium=tumblr
Full T.B.T Interview Ya Baba Dailysuperstar89 with @MMS 7 & @Meck Manyanga on 88.5Mhz Tanga Subscribe Comment Like Share #BABADUDATES 👇🏾👇🏾👇🏾 https://youtu.be/QQk1coIFw-U Link kwa bio yangu (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BvzfnJ3H9Sr/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=u6pjjxl6xip7
@meckmanyanga_ Huu utani bado utanitania mpaka sasa mzee ama tuliacha kule utotoni ? Full T.B.T Interview Ya Baba Dailysuperstar89 with @MMS 7 & @Meck Manyanga on 88.5Mhz Tanga Subscribe Comment Like Share #BABADUDATES 👇🏾👇🏾👇🏾 https://youtu.be/QQk1coIFw-U (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BvzfTw_n28i/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=htkqr2qd3flt
Sometimes yes sometimes no sometimes kunakupanda na kushuka si ndio? Comment Like Share #BABADUDATES (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Bvwen25nEEx/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1l4ilo8846z7k
Hahaha watu bwana eti wamenibamba uko ma @dizzimonline harakani duh shikamoo camera @hassan_mwakinyo_jr hii ilikua pale kwa mama mzazi mzee Comment Like Share #BABADUDATES (at Masiwani, Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BvvbiTXnXnF/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=s1mns4o7z7fb
Bwana Mohamed Juma mkazi wa jiji la Tanga akielezea jinsi mkewe alivyo mtelekeza mtoto wao ambaye ni mlemavu kutokana na kipato chake kuwa duni ambapo imepelekea ndoa yao kuvunjika. Bw. Mohamed Juma anahitaji msaada kwa Mtanzania atakayeguswa ili kumsaidia mtoto huyo. Kwa yeyote atayeguswa apige No. 0716333582. Comment Like Share #BABADUDATES 👇🏾👇🏾👇🏾 https://youtu.be/awJuic-ut_0 (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BvvItLRHzvk/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=16mkf68918eip